Thursday, 25 August 2016

Picha

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Momba, Adrian Jovin Jungu akisaidiana na mkuu wa mkoa wa Songwe kuhakiki mahudhulio ya wanafunzi darasani katika shule ya msingi Ivuna

Picha

Mkuu wa mkoa wa Songwe akiongea na wanafunzi darasani

Picha

Mkuu wa mkoa wa Songwe Chiku Gallawa akitembelea shule ya msingi Ivuna ilikukagua hali halisi ya idadi ya wanafunzi na chakula wakati wa masomo.

Picha

Mkuu wa Mkoa wa Songwe akipokelewa kwa shangwe na wanawake kwenye Zahanati ya Ivuna wilayani Momba

Picha

Ujenzi wa msingi ukiendelea

Picha

Mkuu wa mkoa wa Songwe Chiku Gallawa akiongeza nguvukazi katika ujenzi wa msingi

Picha


Picha


Picha

Timu ya mafundi kutoka Jeshi la Wananchi, Magereza, Mgambo, Halmashauri ya wilaya na wananchi wa wilaya ya Momba wakijenga msingi wa kituo cha polisi.

Picha

Wadau mbalimbali wa maendeleo wakijadili kabla ya kuanza kuchimba msingi wa Kituo cha polisi makao makuu ya wilaya ya Momba mkoani Songwe
Mkuu wa mkoa wa Songwe Chiku Gallawa  akielekea kwenye eneo la ujenzi wa kituo cha Polisi cha wilaya ya Momba kilichopo katika makao makuu ya wilaya  Chitete.

Picha

Mkuu wa wilaya ya Momba,  Juma Said Irando, akikagua gari iliyobeba mazao kama msafirishaji amelipia ushuru wa mazao wilayani Momba  23 Agosti,  2016.