Sunday, 17 April 2016

Mkuu wa mkoa Luteni Mstaafu Chiku Galawa akiangalia ramani ya makao makuu ya wilaya ya Momba

Mkuu wa mkoa wa Songwe Luteni Msataafu Chiku Galawa akioneshwa na kufafanuliwa ramani ya makao makuu ya wilaya ya Momba kutoka kwa  kaimu Afisa Ardhi wa Wilaya Kelvin Tujangaje katika eneo la Ujenzi lililopo katika kijiji cha Chitete tarafa ya Msangano.

video

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Chiku Galawa akitoa tamko kuwa Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Momba wahamie  Makao makuu katika kijiji cha Chitete.

Monday, 11 April 2016

picha




Ngazi za awali za maporomoko ya mto Momba katika kijiji cha Mfuto, Kata ya Myunga Wilayani Momba

Thursday, 7 April 2016

picha


Picha

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Luteni mstaafu Chiku Galawa akijumuika na msanii Rostina  Mpenzu wa nyimbo za kuhamasisha maendeleo, katika ziara yake wilayani humo

Picha

Mkuu wa wilaya ya Ileje Rosemary Senyamule akitoa taarifa ya wilaya kwa Mkuu wa mkoa wa Songwe  Luteni Mstaafu Chiku  Galawa 

Picha

Watumishi na wadau mbalimbali wa Halmashauri ya wilaya ya Ileje wakimsikiliza mkuu wa mkoa mpya Luteni Mstaafu Chiku Galawa wakati wa ziara yake wilayani humo.

Picha

 Mkuu wa mkoa wa Songwe Luteni mstaafu Chiku Galawa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Ileje na wadau mbalimbali April 6, 2016.


Picha

Mkuu wa mkoa Mpya wa Songwe Luteni mstaafu Chiku Galawa akinawa mikono baada ya kupanda mti katika sekondari ya Itumba wilayani Ileje, ili kuhamasisha jamii ipande miti kupambana na mabadiliko ya tabianchi.

Picha

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Luteni mstaafu Chiku Galawa akijiandaa kuondoka baada ya kuhitimisha ziara yake katika eneo la Sekondari ya Itumba wilayani Ileje April 6, 2016

Picha

Ujenzi wa nyumba ya Mkuu wa Wilaya ya Momba.

Picha

Ujenzi wa nyumba ya Katibu Tawala 

Picha

Msafara wa mkuu wa mkoa wa Songwe ukitokea kwenye eneo la ujenzi la makao makuu ya wilaya ya Momba lililopo katika kijiji cha Tindingoma kata ya Chitete

Picha

Watumishi na wadau mbalimbali wa Halmashauri ya wilaya ya Momba wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Luteni mstaafu Chiku Galawa wakati wa ziara yake katika ukumbi wa mikutano uliopo kwenye makao makuu ya muda Ukwile Mbozi.

Picha

 Mkuu wa mkoa wa Songwe Luteni mstaafu Chiku Galawa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Momba na wadau mbalimbali April 5, 2016

Picha

 Mkuu wa mkoa wa Songwe Luteni mstaafu Chiku Galawa akisalimiana na kaimu mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Momba Christopher Henerico April 5 mwaka huu wakati wa ziara ya mkuu wa mkoa katika kufahamiana na watumishi  mbalimbali wa wilaya hiyo.

Picha

Luteni mstaafu mkuu wa mkoa wa Songwe Chiku Galawa akipokelewa na Kamati ya ulinzi na usalama katika Halmashauri ya wilaya ya Momba.

Picha

Mkuu wa wilaya ya Momba Richard Mbeho akimpokea mkuu wa Mkoa mpya wa Songwe Luteni mstaafu Chiku Galawa katika Halmashauri ya  wilaya ya Momba April 5 mwaka huu. ikiwa ni mwendelezo wa kujitambulisha katika wilaya za mkoa wa Songwe.