![]() |
| Mmoja wa wawezeshaji katika mafunzo ya ujasliamali Leons Mtana akitoa sababu ya kuwaelimisha wajasiliamali mjini Tunduma |
| Mbunge wa jimbo la Vwawa akiwashukuru wananchi wa jimbo la Vwawa kwa kumchagua |
| Wana CCM jimbo la Vwawa wakisherehekea ushindi wa mbunge wao Japhet Hasunga |
| Mwenyekiti wa vijana CCM wilaya ya Mbozi akiwashukuru wananchi wa jimbo la Vwawa kwa kumpigia kura mgombea ubunge jimbo la Vwawa Japhet Hasunga |
| Wanachama wa CCM jimbo la Tunduma wakiwa kwenye shamrashara baada ya mgombea wa urais kupitia chama hicho Joseph Pombe Magufuli kutangazwa kuwa mshindi wa kiti cha urais |
| ''Sio pombe wala uchizi ni mizuka ya Magufuli'' ,,,,,,,alisikika mwana chama huyu wa CCM jimbo la Tunduma akigaagaa kwenye tope akidai anafurahia ushindi wa Magufuli kutangaza kuwa rais. |


No comments:
Post a Comment