Thursday, 12 May 2016

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Luteni Mstaafu Chiku Galawa  amefanya press conference na waadishi wa Habari Mikoa ya Mbeya na Songwe.




Mkuu wa Mkoa wa Songwe  Luteni Kanali mstaafu Chiku Galawa akiwa katika picha ya pamoja na Waandishi wa habari mara baada ya mkutano na Waandishi wa habari 

Hatimaye watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Momba wahamia  Makao Makuu ya Wilaya katika Kijiji cha Chitete.


Wataalam wa Idara ya Ardhi wakifanya maandalizi ya kupima viwanja kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za watumishi katika eneo la Kijiji cha Tindingoma lililopo katika eneo la makao makuu ya Wilaya ya Momba

Ziara ya Mkuu wa Mkoa Luteni Mstaafu Chiku Galawa katika  migodi ya  Shanti Gold Mine iliyopo katika Wilaya ya Songwe.



Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Songwe Luteni Mstaafu Chiku Galawa katika migodi ya Makaa ya Mawe yaliyopo katika Kijiji cha Magamba Wilaya ya Mbozi.




Mkuu wa Mkoa Luteni mtaafu  Chiku Galawa akipata maelezo ya uchimbaji Makaa ya mawe kutoka kwa msimamizi A. Mwakinyafu katika kijiji cha Magamba kilichopo mpakani mwa Wilaya ya Songwe na Mbozi
Mku wa Mkoa akibadilisha mawazo na ASP Nyandular Operation Officer wa Mkoa wa Songwe.