![]() |
| Wagombea waliotangazwa leo kushinda viti vya ubunge CHADEMA jimbo la Mbozi Pascal Haonga na Japhet Hasunga CCM jimbo la Vwawa |
Tuesday, 27 October 2015
PICHA
PICHA
PICHA
PICHA
PICHA
Friday, 23 October 2015
PICHA
PICHA
Monday, 19 October 2015
PICHA
PICHA
PICHA
PICHA
PICHA
PICHA
PICHA
PICHA
PICHA
PICHA
PICHA
Sunday, 18 October 2015
PICHA
PICHA
Saturday, 17 October 2015
PICHA
PICHA
PICHA
PICHA
PICHA
PICHA
PICHA
PICHA
PICHA
Habari
Kinana:
Wapinzani mkipata mgombea urais mwenye sifa nitamnadi
Wananchi wa vyama vya upinzani wameombwa kuendelee kulipa ada za
vyama vyao kwani kwasasa hawana mgombea
mwenye sifa za kushika nchi.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana alipokuwa akimnadi mgombea wa uraisi kupitia
chama hicho Dr. John Mgofuli, kwa wananchi wa
Jimbo la Vwawa wilayani Mbozi.
‘’ Kwasasa mgombea mzuri anatoka CCM hivyo
hamnabudi kumpa kura zenu , na baadae na ninyi kwa miaka ya baadae
mkipata kiongozi mzuri nitawaambia wana CCM wampe kura zote’’ Alisema Kinana.
Akiendelea kumnadi mgombea huyo Kinana alisemakuwa Magufuli amekuwa waziri
kwa miaka ishirini hajawahi kupata kashfa yoyote, wala hajawahikufukuzwa hivyo
basi ni kiongozi mwadilifu na hodari.
Sambamba na
hayo, katibu mkuu huyo alitumia nafasi hiyo kuwaambia wananchi wa Vwawa kuwa Wizara
ya Ujenzi aliyokuwa akiishikiria Dr. Magufuri inapokea pesa nyingi lakini
hakuwahi kushawishika kupokea rushwa kwenye wizara hiyo.
Hakuishia hapo,
Abdulrahman Kinana aliongezakuwa Mgombea wa uraisi kupitia CCM Dr
Magufuli ni mtu mkweli, mtekelezaji na msimamizi mzuri na endapo watamchagua
maendeleo yatapiga hatua wakishirikiana na watendaji wengine.
Licha ya hayo, Katibu Mkuu huyo alisema kuwa
anawashangaa wagombea wa upinzani kwani wamekaa serikalini zaidi ya miaka
arobaini nao wanathubutu kuisema serikali kama haijafanya chochote.
‘’Nawashangaa sana wagombea wa upinzani waliokaa
zaidi ya miaka arobaini wanaothubutu kuisema serikali kwani wao hawakuwa
viongozi basi hawana sifa za kugombea maana nao hakuna walichokifanya’’ Alisema
Kinana.
Aliwataka wananchi wa Jimbo la Vwawa wapime kuwa
mtu aliye kaa serikalini miaka mingi
anawaahidi watanzania neema kwa miaka mitano alikuwa anafanya nini kwa miaka yote aliyokuwa
ndani ya mfumo.
Hata hivyo Abdulrahman Kinana alikiri lazima wakubali
wakati wa mabadiriko umefika lakini mabadiriko hayawezi kuletwa na mtu wa umri ulio kwenda na aliyeitwa majina yote
mabaya bali mtu safi na mchapakazi.
‘’Unakuja kuleta mabadiriko umri wako wenyewe ni saa
kumi na mbili jioni neema gani utakayo waletea watanzania kwa muda huo’’
Alisema Abdulrahman.
Mbali na hayo aliwakumbusha wananchi wa Jimbo la
Vwawa kuwa wafanye kazi kwa bidii wasipotoshwe na kauli za wanasiasa kwani hakuna atakaye apishwa muda huohuo na akaleta
bodaboda asubuhi maendeleo bila jasho ni
kazi bure.
Enea Mwanja
Monday, 12 October 2015
Friday, 9 October 2015
PICHA
PICHA
Wednesday, 7 October 2015
Saturday, 3 October 2015
Picha
Picha
Picha
Picha
Subscribe to:
Comments (Atom)

