Mkuu wa mkoa wa Songwe Luteni Msataafu Chiku Galawa akioneshwa na kufafanuliwa ramani ya makao makuu ya wilaya ya Momba kutoka kwa kaimu Afisa Ardhi wa Wilaya Kelvin Tujangaje katika eneo la Ujenzi lililopo katika kijiji cha Chitete tarafa ya Msangano.
No comments:
Post a Comment